MualikoApp Premium

Karibu MualikoApp!

Mfumo wa Kisasa wa Harusi, Bajeti & Michango

Harusi Bajeti Kadi QR
SHEREHE
✨ Mfumo Namba 1 wa Sherehe Tanzania

Usimamizi wa Kisasa wa Harusi, Bajeti & Michango kwa Dijitali

Tengeneza kadi za kielektroniki za QR Code, simamia michango na ahadi za wageni, fuatilia bajeti na matumizi ukumbini kwa urahisi zaidi na bila msongo wa mawazo.

100% Salama Cloud
Scan QR Check-In
Share WhatsApp & SMS
✨ MualikoApp Portal

MualikoApp

Ingia au Jisajili Kusimamia Sherehe Yako

Ingia Kwenye Akaunti Yako

Tengeneza Akaunti Mpya

500+
Sherehe Zilizofanikiwa
TZS 2.5B+
Michango Zilizokusanywa
100K+
Kadi QR Zilizoscanwa
99.9%
Ulinzi & Uhakika Wa Data
Mjongeo wa Dijitali & GSAP

Sogeza Ukurasa Kuona Kabasha Linavyofunguka, Keki na Maputo!

Sogeza ukurasa kwenda chini uone kabaasha linavyojifungua, kadi inavyotoka, keki inavyoshuka chini, na maputo yanavyoenda juu!

✨ KADI YA VIP MICHANGO

Kelvin & Grace M.

Serena Hotel, Dar es Salaam

Jumamosi, 28 Desemba 2026

SHH-2026-VIP-9942
πŸŽ‚
πŸ”₯
Keki ya Sherehe
CHECK-IN IMEKUBALIWA!
Scan Barcode Ukumbini Siku ya Sherehe
Vipengele Vya Kisasa

Kila Kitu Unachohitaji Ili Sherehe Yako Iwe Ya Kiwango Cha Juu

Ondokana na madaftari ya zamani. Tumia teknolojia inayorahisisha kazi za kamati na wageni wote.

Kadi za Dijitali za QR Code

Tengeneza kadi zenye QR/Barcode ya kipekee kwa kila mgeni. Scan kadi mlangoni ukumbini kwa sekunde 1 tu!

Usimamizi wa Michango & Ahadi

Fuatilia kwa usahihi ahadi na malipo ya kila mchangiaji (Single, Double, Familia). Baki na ripoti halisi mkononi.

Bajeti & Matumizi ya Cash

Panga bajeti ya ukumbi, chakula, vinywaji, na rekodi matumizi madogo madogo. Mfumo unakuonyesha cash iliyobaki mkononi.

Kumbukumbu SMS & WhatsApp

Tuma ujumbe wa kukumbusha michango iliyobaki na SMS za shukrani moja kwa moja kwa simu za wageni wako.

Usimamizi wa Kamati & Ruhusa

Ongeza Wenyeviti, Makatibu, na Wahazini wenye ruhusa mbalimbali za kusimamia na kuingiza data kwa usalama.

Hifadhi Salama ya Firebase Cloud

Taarifa zako ziko salama 24/7 kwenye wingu (Cloud). Unaweza kuzipata ukiwa mahali popote kupitia simu au kompyuta.

Kikokotoo cha Haraka cha Bajeti & Michango

Hesabu makadirio ya bajeti na kiasi utakachokusanya kulingana na idadi ya wageni wako.

200 Wageni
50,000 TZS
SMS 2 (Kumbukumbu & Shukrani)
Lengo la Jumla la Michango

TZS 10,000,000

Kutokana na kadi zote zilizopangwa
Gharama za SMS za Taarifa

TZS 35,200

Sawa na TZS 88 Γ— Wageni 200 Γ— SMS 2
Bajeti Inayoshauriwa ya Ukumbi & Chakula

TZS 6,000,000

Sawa na 60% ya bajeti nzima
Akiba ya Matumizi Mengine / Sherehe

TZS 4,000,000

Mapambo, Muziki, Vinywaji & Matumizi
Rahisi Kabisa

Hatua 3 Tu Za Kuanza Kutumia MualikoApp

Hutaji ujuzi wowote wa kiufundi. Mfumo wetu umeundwa kwa ajili ya kila mtu.

Hatua 1

1. Tengeneza Akaunti & Sherehe

Jisajili kwa namba ya simu au email. Weka jina la sherehe (mfano: Harusi ya Kelvin & Grace) na tarehe.

Hatua 2

2. Ongeza Wageni na Bajeti

Weka orodha ya wamchangiaji, kiasi walichowahidi au kulipa, na panga bajeti ya mahitaji ya sherehe.

Hatua 3

3. Scan Kadi Siku ya Sherehe

Tuma kadi za QR kwa wageni kupitia WhatsApp. Siku ya sherehe scan kadi zao mlangoni kwa kutumia simu!

Ushuhuda WA Watumiaji

Walichosema Wanandoa & Kamati Za Sherehe

MualikoApp imesaidia mamia ya harusi na sherehe kufanikiwa bila msongo wa mawazo.

"MualikoApp ilitusadia sana kwenye harusi yetu Dar es Salaam. Tulikuwa na wageni 350 na kadi zote za QR ziliscanwa mlangoni bila foleni kabisa. Kamati ilifurahi mno!"

K&G

Kelvin & Grace M.

Harusi - Dar es Salaam

"Kama Mwenyekiti wa Kamati, kufuatilia michango na kutuma SMS za kumbukumbu ilikuwa kazi rahisi mno. Kila mtu kwenye kamati aliona takwimu zikiwa wazi."

JM

Mhandisi Juma M.

Mwenyekiti wa Kamati

"Tofauti na mifumo mingine, MualikoApp ni rahisi sana kuelewa hata kwa mtu asiye na ujuzi wa kompyuta. Ripoti za matumizi ya cash zilisaidia kutopoteza hela."

S&A

Steven & Anna

SendOff & Harusi - Arusha
Maswali Na Majibu

Maswali Yanayoulizwa Mara Kwa Mara

Unahitaji msaada zaidi? Pata majibu ya maswali ya kawaida hapa.

Kujisajili na kuanza kutumia MualikoApp ni BURE kabisa! Unaweza kuongeza sherehe yako, kuweka bajeti, na kusimamia michango bila malipo yoyote ya awali.

Naam! MualikoApp ni Mfumo wa Kisasa (Progressive Web App) unaofanya kazi vizuri kwenye simu yoyote ya Android, iPhone, Tablet au Kompyuta bila hitaji la kudownload app kubwa.

Mfumo unazalisha link maalum ya kadi au picha ya QR Code kwa kila mgeni aliyekamilisha mchango wake. Unaweza kuituma moja kwa moja kupitia WhatsApp au SMS kwa kubonyeza kitufe kimoja tu!

Ndio kabisa! Unaweza kuongeza Wenyeviti, Makatibu, au Wahazini kwenye sherehe yako na ukawapa ruhusa maalum za kuingiza michango na kusimamia matumizi.

Je, Uko Tayari Kufanya Sherehe Yako Iwe Ya Kisasa?

Jiunge na mamia ya wanandoa na kamati zinazotumia MualikoApp kusimamia sherehe zao bila msongo wa mawazo.

Tengeneza Sherehe Yako Sasa